Umeshaisikiliza 'Shika adabu yako' ya Ney wa Mitego?

Duu huu wimbo nimecheka sana hasa pale pa dj choka kukosa hadi godoro...
 
Hivi kijana kuishi kwao kuna tatizo gani? si maamuzi tuu? huyu nay nae anatafuta kiki coz nyota yake kwishinei


Mkuu kuanzia miaka 18 milango iko wazi kuondoka nyumbani, ukichelewa mpaka umefikisha 24 bado uko home ujue unawaletea gozigozi ila wanashindwa kusema. Sasa huyu miaka 35 bado anapishana mlangoni kwenda chooni na mama bado unauliza kunaubaya gani, kweli?
 
HILI lijamaa halijawahi kuniangusha....jamaa ni anapasua ukweli....hili lijamaa basi lipige kazi yu
 
Nadhani litakuwa bonge moja la goma.
 
Aiseee ila kajamaaa huwa kanaongea ukweli
 
Nlishaacha mfuatilia huyu pimbi mdaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…