Umeshaisikiliza 'Shika adabu yako' ya Ney wa Mitego?

Shetta kutwa nzima ni kushinda nyumbani kwa diamond mbaya zaidi anaenda na familia yake pooooooor kishetttaa!!
Ha ha ha ha du! we jambazi usinichekeshe bna ina maana sheta ana shinda kwa mond au anafuata swimming pool.
 
Hivi Shetta si alikuwa anajitapa 'shikorobo' imemuingizia mpunga mnene, inakuwaje anashinda kwa Diamond na kuhongwa magari?
 
Hii ngoma ikosawa lakn yule mwingine ambae anagari analala kwa mademu sijajua nani nijuzeni kwenye iyo ngoma ya ney
 
Niva ndo nani tena mbongo maarufu njaa wengi xaxa kali kwamba kick imeamia serikalini
 
Huyu kiboko yake Niki mbishi tu.
 
Ngoja niisakue make kwa mtazamo inakosha sana, jamaa anajiamini sana.
Safi sanaaaaa
 
Hahaahah, hizi ndio nyimbo nazo zipenda kwa NEY... jamani tuache fake life... hizi, ndio maana mimi insta nili amua kukaa pembeni nione maigizo.... nime kua mtu waku like na ku comment baasi, baada yaku safisha account yangu iliyo kua na pices kama 300 na ushee si kidogo... INSTAGRAM ime wafanya vijana wengi wa bweteke na kuhisi mbona kama mimi ndio niko slow mambo yangu haya ninyookei????? Hell no kuna fake lifestyle mle balaaa... ndio hayo sasa NEY ka aamu kuwanyea!!!!
 
Sikuona umuhimu wa kuimba tungo hii hasa kwa mtu aliyetoka kama Ney!
Hawa watoto wa "Tandale" smts inabidi wajitambue...
 
Acha kumdhalilisha Eminem wewe

Thank you.
Kuna watu wanajua kuropoka balaa.

Kwa mfatiliaji mzuri wa mziki wa mbele huyu Ney anajitahidi kutumia/kuiga marketing strategy ya 50 Cent. Atafanikiwa kwa kiasi flan ila....

Ni upepo tu, atapita.
 
Baba kailaaa hahaha" Nay Sio mtu mzuri ila nilkua najiulizaga sana shetta anapata wap jeuri ya kununua ndinga kali sahv anaendesha Discovery 4 sijui 6 ile kumbe Chief Kiumbe anasmamia show
 
Huyu mtu kupenda wasuta wenzie hajambo sema alikolulia (manzese)ndio waishivyo
Hao bongo movie wengi wao hajieleewi na shule hawataki kurudi si zasanaa au nyingnezo sijui hawaoni upepo unaokuja mbele uko
 
Mbona ameacha ya kwake na mama watoto wake Curtis kuambiwa mtoto si wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…