Mzuka wanajamvi
Kuna jamaa nilikuwa na mdai akawa ananikwepa tukakutana naye ghafla.
Nikamzuia na kumuambia anilipe. Jibu alilonipa lilizidi kunikera kwa kuniambia sina hela ukitaka niue basi au fanya chochote.
Sasa Shangazi ajiandae kabisa na majibu kama haya kutoka kwa 'short sighted' Cyprian Musiba.