Habari wana jamvi?
Mie ni mdau wa jf mnoo,kuna jambo nimelinote kuhusu huu mtandao ukilinganisha na other social networks like whatsapp,Imo,viber etc;
Unahisi wewe tangu uweke Avatar yako ni lini au mara ngapi au inachukua duration kiasi gabi mpaka ubadili tofauti na za whatsapp au imo au viber n.k?
Ama unahisi kwanini huoni umuhimu wa kubadili avatar ya jf kila mara kama unavofanya mitandao mengineyo?
Nawasilisha