Ugomvi wa kila saa, utabwaga manyanga mapema mno walaqhi'.!
Utabaki una act 'perfectinism' ili tu usimkwaze seriously??
Ngoja nitoe story tofauti kidogo. Nilishawahi kuwa na manzi mmoja hivi mdogo mdogo k wa umri na sio umbo. Beautiful kweli kweli, yani Cleopatra akasome.
Shida alikuwa anapenda ngono huyo, yaani she can't abstain for two weeks. Mnaweza fululiza wiki nzima mnagegedana tu. Sema show yake ilikuwa si mchezo, she was a naturaaal in the game.
Ikabidi nimkeep kwa matumizi ya kitandani tu, na nikamuonyesha kabisa kwamba she can't be my wife.
Hadi leo nakumbushia mara moja moja , game za level ile ni very rare, unaweza ukafa hujapata. Mabaharia nadhani mtakuwa mmeelewa.
una bahati wewe hadi raha yaniiii 🤣 🤣 🤣Nilikua na huyo mmoja anachamba balaa ,anagubu huyo alafu Malaya na bado ananichamba kua nimvumilie eti Kama mahusiano nashindwa mvumilia kwenye ndoa nitaweza changamoto .... Nikaona chakufia nini nilitoka mbio nikasema hata kama ni ndoa bora nibaki single tu...
Mwingine sasa ni mbinafsi alafu anawivu kila kitu anataka akukague ...anataka kutwa nzima muwe mnachat tuu alafu simu akupigie hadi usiku wa manane .....limwanaume nilichoyo balaa nayeye mapemaaa nikasepa kabla hatujafika mbali
Sawa mkuu
mwanamke umempa shoo ya kibabe saivi Goli 5 unaenda kaziniKweli nyie hamtabiriki pia waliomagogo vitandani hamuwataki na wenye kujituma nao wanawekwa benchi[emoji848][emoji848]
Cc Kingsmann
Unaulizia K.Vant Bar?
umenichekesha mkuuuuTuache masihara. Mdada mzuri sana nilipata mwenzenu mji kasoro bahari.
Tatizo ana kidude cha kati kubwa km mkuyenge. Na tukifanya anamwaga zile nziitooo! Km mwanaume. Mambo yake ni misuri misuri tu. Anaweza kmata ndama mkubwa tu kwa mkono mmoja. Yuko tayari kuzichapa na mimi km nik muudhi. Ana history za kupigana na kaka zake
Akikamua ngombe anazuia kwa mikono. Hafungi ndama.
Niliondoka bila kuaga
ubabe wa mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.
Mwingine aliomba ndogo na huo ndiyo ukawa mwisho wa mahusiano.
Ubinafsi wa yule mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.
Me mwanaume akinitongoza wala sikatai ,ila nakuwa sina mpango wa kwenda nae popote ni vizinga kwa kwenda mbele,no papuchi no love sms .namdai kama tala vile
mkuuu una nyota ya kupata wanaume wachafuHehehe duh me kuna mwana nlimwacha yaan alikua vzuri tu lkn alikua akisema kitu hatekelezi swala dogo tu LA kunyoa Nywele na ndevu na kubet vlikua shida kuoga ndo kabisaaa...nkaona isiwe shida nkamwacha for good....
Kuna mwamba mwingine yeye haoni shida kutoa hewa ya ukaa (kujamba) na shuzi Lina nuka kwelikweli mwamba mchafu kinoma kuoga ishu mswaki ishu geto hapafai...vuzi LA ela yote ukimwambia ndo kwanzaaa anakuona kama katuni nkaona isiwe tabu nkamwacha for good.....
unanihitaji mimi sana kwenye maisha yakoHe was control freak and possesive. Nilimvumilia weee, i was naive to understand ninini kupendwa na ninini kunyanyaswa, nilivyoelewa nikajichomoa kwa mbinde sana.
Mwingine alikuwa haongei kabisa na mimi, anasema neno moja au mawili anakaa kimya mnaweza kaa kimya siku nzima, Cha ajabu mkiwa mbali mbali anakuchatisha balaa, ukimfuma na washkaji zake anaongea kama redio. Mi siwezi kukaa na mtu asiyeongea, naboreka sana.
sasa hivi vipi mama unadamshi damshi au bado tusubiri kidogoMi nilikuaga na huyo babe yaani yeye ana priorities zake, Mimi sipo kabisaa kwenye ratiba zake,ukimpigia simu he's busy always yani, mpaka akutafute yeye
Sasa iloniboa ni hii, ilikua graduation yake chuo, sasa mama watoto huku nimejiandaa na kijizawadi nini , nimefika Kwa graduation ni busy busy tuu, nikaishia kumpa zawadi faster, sijaoneshwa ndugu yake yeyote,afu ananambia kuna sehemu tumeandaa party tunaenda na washkaji see youu, kha nikaona mmh hii Gari haifiki popotee, ila nimekumbuka huenda ni hii bad looking., na nakumbuka nilivyokua nimevaa mshamba first year student mimi,naona alihisi atachekwa na wenzie tu[emoji3] [emoji3] simlaumu sanaa.
Ukiona mwanaume anakuomba ndogo ujue hakupendi 100%. Bora nibaki single milele kuliko kuoa mwanamke anayetoa ndogo
Wakorintho 6
...Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
Jamaa umeandika maelezo marefu me nmejua ni story yako kumbe loh...Why ugomvi kila saa, wanawake bana. Mi sionagi sababu ya makelele zaidi ya kupeana mahaba tu ukiwa na mwanamke msikivu na mwaminifu.
Mapenzi yanakuwa full of fun if you do stuffs together as friends. Mnacheka pamoja na kupanga mipango yenu ya maisha, doing activities together.
Shida ya wanawake wa kibongo ni umalaya, anataka awe na wewe ila akianza kutongozwa nje anahamishia attention na huko matokeo yake ni kutaka ku sneak out. Ukiwa strict kumfatilia anaona unambana bana. Anaona unam suffocate...
Wengine tukiwa kwenye mahusiano hatupendagi jam, ukianza kuonesha tabia za ajabu ntakubana mpaka utaniona kero. Mwisho ntakukamata na tutaachana tu.
hamna raha mmekaaa wanaume halafu anatokea mpenzi wako yuleeeee wanaume wenzako wanasemaUmenikumbusha mbali sana, kuna jamaa yangu tulikuwa nae kwenye harusi alimchana demu wake laivu kuwa hakupaswa kuwa pale maana alivaa kipori pori..
Na nyie mkumbuke kupendeza pale mnapoenda katika mtoko, wanaume tunaona ufahali sana pale bibi zetu wakiwa wamependeza.
Aise, mkuu umenichekesha sana aise, hawa dada zetu hawajui kabisa pale kwenye mtoko inabidi wavunje kabati maana hakuna mwanaume asiyependa kusifiwa kuwa demu/ mke wako ni kisu huwa tunafurahi kwelikweli...hamna raha mmekaaa wanaume halafu anatokea mpenzi wako yuleeeee wanaume wenzako wanasema
oyaaaaa chekini mtoto yulee chekiniiii chekishiaaa daaaaah kuja kuangalia vizuri ni Dem wako
unawanyamazisha wana unawaambia "kuweni na adabu na shemeji yenu" hawaamini unachowambia
mtoto anafika unamkumbatia unamkiss unamleta karibu unampakata unamtambulisha kwa wanaoo
Unajua ile feeeling mzeeeeeee unajihisi upo na dem mzuri dunia nzimaaaaa hamna wakumkutia.
ILA sasa mtu anakuja kavaa ligauni la kijani mgomba, anatembea kama MATUMAINI aseee ukifika naeza kukusalimia
shikamooooo dada.