Aiseee 😁😁😁😁😁hamna raha mmekaaa wanaume halafu anatokea mpenzi wako yuleeeee wanaume wenzako wanasema
oyaaaaa chekini mtoto yulee chekiniiii chekishiaaa daaaaah kuja kuangalia vizuri ni Dem wako
unawanyamazisha wana unawaambia "kuweni na adabu na shemeji yenu" hawaamini unachowambia
mtoto anafika unamkumbatia unamkiss unamleta karibu unampakata unamtambulisha kwa wanaoo
Unajua ile feeeling mzeeeeeee unajihisi upo na dem mzuri dunia nzimaaaaa hamna wakumkutia.
ILA sasa mtu anakuja kavaa ligauni la kijani mgomba, anatembea kama MATUMAINI aseee ukifika naeza kukusalimia
shikamooooo dada.
kweli wewe Kete ngumuNikiwa shule ya msingi shirimatunda darasa la sita nilimshuhudia baba wa classmate wangu akipigwa na mkewe kipigo kama chote mpaka mama akatosheka. Mwaka huohuo nikamshuhudia mama family friend wetu akimtukana tusi zito mumewe kisa hana kazi. Basi kukawa na matukio mengi ya aina hiyo ya udhalilishaji kwa wababa ninaowafahamu.
Basi nikaamua kumuomba Mungu mke mwema nikampa na vigezo vyangu kama ifuatafyo
1)Awe yatima 2)mcha Mungu, 3)mweupe 4) atoke ktk familia masikini au isiyozidi yetu uwezo. Haya yalikuwa maombi yangu tangu shule ya msingi sekondary na mpaka umuri wa kuoa.
Nikampata mrembo umuri ulipokuwa sahihi tukapendana mno ila kigezo namba 4 kilikataa, tukaachana bila purukushani yoyote. Ameolewa na ana watoto watatu hadi leo tunawasiliana hatuna bifu, huwa ananiuliza nini kilitokea sijawahi kumwambia maana nadhiri ya mtu ni siri yake.
Nilikuja kupata mke wa vigezo vyote ila kigezo namba 1 kilikamilika tukiwa wachumba kwa mchumba wangu kufiwa na babake, mama alishatangulia mbele ya haki kitambo. Roho za marehemu zipate rehema kwa Mungu zipumzike kwa amani amina.
Kuoa mwanamke anayependa ngono ni hatari kwa ustawi ndoa kwasababu huwezi kumuacha miezi 6 ukamkuta salama. Mfano. shughuli zako sa kusafiri safiri, yaani unatoka nyumbani unajua kabisa nikipitisha wiki moja nakuta ameshagongwa tayari. Hata mimi siwezi kuoa mwanamke mpenda ngono mpaka keshokutwa.Wengine wamezaliwa hivyo
Unakuta wa kike ana homoni za kiume
sio kosa lake
And that's my nigga...Watu Mungu mnampenda kumbe ila kwa nini amri zake hamfuati? Back to topic, unaweza kumwacha mtu kwa kuwa eti hamtofika mbali kumbe yeye hana mpango wa kwenda huko mbali kwa hiyo ni vema ukaendelea kujiburudisha tu
Ndio mkuu wote wako hivyo kasoro wa kwangu.me alikuwa hana tabia ya kusema asante yaani haonyeshi uthamini hata kidogo. Ukimletea hichi atakwambia mbona hukuleta na kile.
halafu nina bahati mbaya na wanawake wa hivi sijui wote ndivyo walivyo?
Kweli nyie hamtabiriki pia waliomagogo vitandani hamuwataki na wenye kujituma nao wanawekwa benchi[emoji848][emoji848]
Cc Kingsmann
Hayo majibu uyatoe nikiwa niko mbali na huo mwili wako. 🤣🤣🤣Haki ya Nani,na ambavyo sipendagi tuhuma ambazo SI za kweli Wala SI za muhimu ..huyo mwanaume mbona atajichosha bure..atakapomaliza namjibu sawa/ndiyo.
Yeye: kwa hiyo ulifanya makusudi kukaa kimya/kuchelewa kupokea
Mimi:ndiyo
Yeye:unajidai unaosha vyombo masaa yote kumbe ulienda kwa wajinga wenzio eeh
Mimi: ndiyo
Yeye:Una kiburi siku hizi
Mimi:sawa
Sipendagi ujinga
Usithubutu kukutwa na bwana pepsi mama! Utasimulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sasa unakuta umemuelekeza mtu haelewi kabisa...tafsiri nyingine anataka useme "ndiyo" kwa kile anachokiongea
Yani anajitapa kuwa atajibu majibu ya kanga mbele ya baharia...Kuna ule msemo wa "kenge hasikii mpaka sikio lake litapotoka damu" nitaukamilisha.Bora utambe tukiwa tunaongea kwenye simu tuu
ila tukiwa live ukinijibu hivyo "unalo" usiponijibu "unalo"
nataka majibu sahihi tena yajibiwe kwa adabu na sauti nyororoooo
Nashukuru kwa kupata maarifa mapya. Sikuwa nalijua hili.Ndio...Hamu ya mapenzi inatokana na vichocheo ndani ya mwili...za kiume ni kali zaidi
Mtu mkimya hawezi kutoa majibu ya kishenzi kama uliyoandika post ya kumjibu sweetlie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sina kiburi...ila ukimya wangu mtu anaweza kutafsiri Kama kiburi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo kwenye hewa ya ukaa! Dah kmamamae nimecheka kisenge. Jamaa anajamba kishoga tu hewa mbovuHehehe duh me kuna mwana nlimwacha yaan alikua vzuri tu lkn alikua akisema kitu hatekelezi swala dogo tu LA kunyoa Nywele na ndevu na kubet vlikua shida kuoga ndo kabisaaa...nkaona isiwe shida nkamwacha for good....
Kuna mwamba mwingine yeye haoni shida kutoa hewa ya ukaa (kujamba) na shuzi Lina nuka kwelikweli mwamba mchafu kinoma kuoga ishu mswaki ishu geto hapafai...vuzi LA ela yote ukimwambia ndo kwanzaaa anakuona kama katuni nkaona isiwe tabu nkamwacha for good.....
Ila sahivi vipi? Bad looking bado ipo maana mie ndio ugonjwa wangu huo? Sipendagi kushea mimi 🤣🤣🤣Mi nilikuaga na huyo babe yaani yeye ana priorities zake, Mimi sipo kabisaa kwenye ratiba zake,ukimpigia simu he's busy always yani, mpaka akutafute yeye
Sasa iloniboa ni hii, ilikua graduation yake chuo, sasa mama watoto huku nimejiandaa na kijizawadi nini , nimefika Kwa graduation ni busy busy tuu, nikaishia kumpa zawadi faster, sijaoneshwa ndugu yake yeyote,afu ananambia kuna sehemu tumeandaa party tunaenda na washkaji see youu, kha nikaona mmh hii Gari haifiki popotee, ila nimekumbuka huenda ni hii bad looking., na nakumbuka nilivyokua nimevaa mshamba first year student mimi,naona alihisi atachekwa na wenzie tu[emoji3] [emoji3] simlaumu sanaa.
Lazma ungeboreka maana we kiziwi yeye bubu 🤣🤣🤣 isingefaa!Upi kati ya hiyo miwili?
Mi nakutaka wewe mbaya, sipendi kushea mimi!Oohh basi wasubirieni hao wazuri wasio na vizinga
Hahahah me nshaachana na mtu pia, she was so demanding yani. Akipiga simu upokee usipopokea ni vita.Jamaa umeandika maelezo marefu me nmejua ni story yako kumbe loh...