Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Yeah kabisa mkuu mfumo ndiyo tatizo
 
sionagi tabu hata kidogo kupita kushoto. sijui ndio bado sijakutana na wakunikamata haswa.
ukishasugua benchi MWAKA mzima hujapata mtu

ukija kumpata siku hata akupige vizinga visvyohesabika ukiwaza kumuacha tu

moyo unakuambia This time around utakaa miaka mi 5 huna dem

kifuatacho utamuomba tu "dada punguza vizinga ila sikuachi"
 

Nakubaliana na wewe lakini most Of Afrikan Girls swala la wao kuwa independent ni tatizo hapa si kwamba nawasema vibaya hapana ni mifumo tu ya kimalezi na tamaduni zetu yaani Elimu ya pesa inatupiga chenga sana kwa wote

Kuhusu hao wanaume ambao wanatelekeza Familia na kuweka matumizi kwa michepuko kisa mwanamke ameamua kuwa independent wana matatizo makubwa sana kwenye Bongo zao na namna wanavyo fikiria

Yet wanawake independent wapo sana Afrika na Tanzania ikiwepo lakini wengi wao huwezi wakuta kwenye Millenia’s Wengi ni wamama ambao umri wao umekimbia kidogo

Hawa millennia’s wengi wapo carried away na fantasy za movie, trend za mitandao ya kijamii na the likes
 
ukishasugua benchi MWAKA mzima hujapata mtu

ukija kumpata siku hata akupige vizinga visvyohesabika ukiwaza kumuacha tu

moyo unakuambia This time around utakaa miaka mi 5 huna dem

kifuatacho utamuomba tu "dada punguza vizinga ila sikuachi"
ukimwambia hivyo ndio umetafuta ugomvi na atasema humpendi. bora nipite kimya kimya tu.

unajua kwa umri wangu najikuta nalazimika kuwa na watu sijui wa design hiyo? naonaga kidogo ukipata mature hawasumbui sana 27+
 
Nilitaka kumwambia hivyo hivyo,
na wewe kabisa unaunga hoja ya Karma mkono

sasa tunayatafutaje matatizo sisi,,mimi saivi nakupenda wewe karena

ntajuaje ni mama vizinga?? karma mwenyewe ukimuendea kwa fujo anaweza kukupa zinga 1 takatifu

ukasahau hata njia ya kuondokea,shida ni hamjulikani ndani ya mioyo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…