Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Shemejiii haha.Hapana, huwa nachukua ikiuliziwa natoa taarifa
Isipouliziwa je?!Hapana, huwa nachukua ikiuliziwa natoa taarifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo,
Nilipokuwa Form 3 nilikuwa sifui mashati, nilikuwa nasubiria madogo wakishafua naliiba kisha nalihifadhi kesho yake navaa likiwa safi kabisa.
Bahati mbaya siku moja nimeiba shati la dogo, asubuhi nikavaa. Nipo Class mademu wananicheka, duuh kumbe shati lina chawa.
Nilikoma kuiba kuanzia hapo. Sijawahi tena.
Nini tenaShemejiii haha.
Nasema piaIsipouliziwa je?!
NakuonaNini tena
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Chakula:
Nimedokoa sana mm mboga na mabaki ya ubwabwa. Mpaka sasa nafanya ila nafanya kijanja. Nikiwa ntumbani namwambia mama kua ninachukua mboga basi anajua kua ninachukua.
Hela:
Mara ya kwanza nimechukua sh nikaenda kuitoa sadaka Sunday. Zilizobaki nimechukua 50 nyingi kwa mama ili niende banda la video.
Mtaani:
Huku sasa ndio usiseme. Tulikua na kikundi chetu kabisa tunakiita TMK WAIZI tulikua tunajifunga vitambaa kichwani kabisa vikiwa na jina la kundi letu. Tumeiba mahindi, karanga, mapera, njugu, Maembe, vigazi/chikichi, mashindwi, condom ili tukatengenezee mipira ya kucheza.
Yote hayo nimeyafanya bellow 13yrs. Namshukuru MUNGU sijakwenda nayo hadi ukubwani.
☆☆☆☆mondray
Umenifanya nikakumbuka ule usemi wa wahenga "jasiri haachi asili:[emoji86]Sidhani kama nitakuwa mwizi peke yangu humu, Nakumbukuka mara ya kwanza kuiba ilikuwa shilingi 10 miaka ya 90s kwenye chenji za mboga, wizi wangu ulifikia stage hadi nikachonga Funguo za vyumba vya nyumbani ili niwe naiba bila presha watu wakiondoka, Pia nakumbuka boarding secondary nliiba elfu 30 na wala sikutishika na biti la kurogwa, kwa ufupi nimewai kuiba ila sio kwa kiwango cha juu sana na hii Tabia nashukuru niliiacha