Umeshawahi kuiona saa yenye Airpods ndani yake !!!

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—›๐—ถ๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐˜„๐—ฎ ๐—ฑ๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ



Kama utaniambia ni saa gani naweza tumia kwa mwaka 2025 basi hii TWS earphones smartwatch 2.01 ni saa ya kijanja ambayo yenye kukufanya uonekane smart.

Saa hii imekuja ikiwa na Airpods kwa ndani zenye kutumia wireless zitakazo kusikiliza vitu kwenye saa na simu yako pia imekuja na mikanda mitatu pamoja na muundo wake umekuja wa rangi nne Silva, black, kijivu na dark blue.



โœ… TWS smartwatch Airpods specifications:
๐Ÿš€ Main Chip ni JL712 na TWS chip yake ni AD6973DA
๐Ÿ”‹ Battery laKe 250mah polymer
๐ŸŽง Headphones battery capacity yake ni 25mah polymer battery
๐ŸŽˆ Bluetooth version 5.3




๐Ÿ—ฃ๏ธ Skrini ya kioo chake ni 2.01TFT 240*296px
๐Ÿ’ก Ina magnetic charging ambayo ukigusanisha tu unachaji bila kutumia waya.
๐Ÿ’ญ Ni touch Skrini kioo kizima

Kwa ufupi tu kuhusu matumizi ya hii Smartwatch
๐Ÿ•ฏ๏ธ Kwa ndani Kuna sehemu ya kuhifadhi earphones zako wala uhitaji kusumbuka kutafuta sehemu ya kuhifadhi humo humo ndani unahifadhi.



๐Ÿ•ฏ๏ธ Iko vizuri kwenye kufuatilia Afya yako na kukupa taarifa sahihi kuanzia mapigo ya Moyo, mzunguko wa Damu, uvutaji wa Hewa na ulalaji mzuri wa binadamu.
๐Ÿ•ฏ๏ธ Inakusaidia kuchukua rekodi zote za mazoezi unayofanya ya kutumia vifaa au bila vifaa ukiwa ndani au nje ya nyumba kuanzia kutembea, kakimbia, kukaa nk.
๐Ÿค Uwezo wa kupokea sms zako zinazotoka kwenye simu na kuzisoma kwenye saa yako
โ™‚๏ธ Uwezo wa kupokea ujumbe mbalimbali toka mitandao yako yote ya kijamii hata kama simu huko nayo mbali.



๐Ÿ”ฆ Inakupa uwezo wa kuwasha tochi ya simu yako bila kuigusa kupitia saa tu kuonyesha favorite contact unazoongea nao sana kwenye simu.

Imekuja ikiwa na lugha nyingi ndani yake kikorea, kiingiereza, kiswahili, kichina, kifaransa, kiarabu nk bila kusahau Ina firmware ambayo inakupa uwezo wa kuendelea kupokea update ya software mbalimbali kwa urahisi.



Kumbuka saa hii Ina muundo wa electronic hivyo upaswi kwenda kuoga N
ayo hata Mara moja โœ๏ธ.
 
Bei Gani na Dar ipo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ