Umeshawahi kuisoma story yako JF?

Umeshawahi kuisoma story yako JF?

St Lunatics

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
6,644
Reaction score
11,174
Umeshawahi kuandika uzi kuhusu mtu hapa jf halafu huyo mtu akausoma na kukupigia na kukueleza kwanini umemuandika kwenye jf. Au umeshawahi kuusoma uzi hapa jf maelezo yake ni kama mambo yaliokutokea wewe. Au umeshawahi kuufata ushauri kutoka jf na kufanikiwa au kuharibikiwa zaidi.
 
Mimi bado aiseeeee
 
Back
Top Bottom