Umeshawahi kujilaumu baada ya kufanya mapenzi na mpenzi wako?

Umeshawahi kujilaumu baada ya kufanya mapenzi na mpenzi wako?

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Wapendwa habari za jioni.

Bila shaka kila mmoja wetu ameshashiriki Mapenzi mara kadhaa iwe na mke/mume wako au mchumba au mchepuko au Malaya tu.

Na kabla ya kumpata ulikuwa umemjengea picha fulani kuwa atakuwa na ladha fulani ya pekee na sifa kibao kutokana tu na mwonekano wake wa nje, lakini ulipokuja kukutana naye kwenye 6*6 mambo yakawa tofauti ukajikuta unajilaumu kwa muda na gharama ulizopoteza kimfuatilia hadi kumpata.

Binafsi kuna mwanamke nilimpenda sana nikatumia Nguvu nyingi kumtafuta baadaye ngoma ikatiki lkn kuja kwenye 6*6, alikuwa wa baridi Sana hana mvuto kabisa, nikajilaumu sana kwanini nimepoteza muda wangu na pesa kumtafuta huyo manzi.

Kama na wewe iliwahi kukutokea hali kama hiyo,tuambie tuendelee kujifunza.
 
Mtazamo wangu ni kwamba unakuwa na shauku kubwa kwa kupania gemu ss siku ya kupewa mambo ni ya kawaida sn, ushauli wngu demu hta mkali vpi mchukulie kawaida2
 
Screenshot_20211021-210611_1.jpg
 
Back
Top Bottom