umeshawahi kujiuliza?

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,829
mapenzi ni kitu kilichopo toka enz, sasa ndugu zanguni....,tuliopo kwenye mapenzi na tuliokuwepo kwenye mapenzi....ulishawah au umewahi kumpenda mtu bila kuweka neno tatizo au neno ila katika hayo mahusiano yako? mfano:mimi nampenda sana mpenzi wangu tatizo mfupi. hebu tupia yakoo mwanajf
 
tatizo hueleweki

Nadhani anadhamiria kuuliza kama mtu anawezampenda mtu mwenye kasoro!! Of which nadhani ni kitu cha kawaida kwani hakuna asiye na kasoro.
Au anataka kujua kasoro za wenzi wetu humu ndani..........eti The Boss useme "nampenda mpenzi wangu tatizo ana wivu!" Ni mfano tu wajameni maana JF mh! nimeivulia kofia
 

nampenda wangu tatizo simuamini lol
na mimi siaminiki lol
 
Simpendi wangu...tatizo amekamilika kila idara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…