SEASON 5
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 481
- 1,008
Umeshawahi kujikuta unatamani kuvunja simu au kupotea duniani kwa dk kadhaa ukirudi duniani ukute ilikua n ndoto si kweli? basi mimi ilishawahi nitokea siku 1 nilichepuka nikadakwa na mpenzi wangu tukaongea yakaisha nikamuomba msamaha akaelewa.
Baada ya siku 1 tu ugomvi hata haujasahaulika nikajichanganya nikakosea msg tena round hii niliandika gazeti la kumpa sifa hyo mchepuko wangu,namimi bila kuangalia namtumia nani Msg nikai send kwa Mpenzi wangu,Tobaaaaaa nakuja kushtuka n delivery report inarudi "your msg was sent to honey" hiiiiiiiiii, bana weeeeee
Sikua na option nyepesi ilibidi ni copy majina yaliykua kwenye laini yangu nikayacopy kwenye simu kisha laini nikaitoa nikaificha,na simu nikampa rafiki angu aniwekee kisha nikarudi home kimyaaaa,nikasema hapa sina lakufanya zaidi ya kuikana msg na kusema nimeibiwa simu tangu asubuhi kazini.
Kweli uongo wangu kama vile ulileta ka ukweli flani nikaaminika na ndio ilikua mwisho wangu wakuchepuka na uongo ktk mapenzi,hebu tuambizane wewe ulifanyaje ulipokosea msg?