Cesar Saint
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 423
- 726
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umepaa wapi haya madesa?
Kuna sijui m s e n g e gani aliniibia kitabu changu kinachozungumzia historia ya Afrika Magharibi kitabu kilikuwa bomba sana
Mwaga nondo mkuu tupate darasa. Wakoloni/Mabeberu wamepotosha sana Historia ya Afrika na watu wake kwa makusudi.
Mwaga nondo mkuu tupate darasa. Wakoloni/Mabeberu wamepotosha sana Historia ya Afrika na watu wake kwa makusudi.
Nimeangalia hizi picture nikagundua sababu ambayo itatufanya tusiendelee ni kutokuwa na idadi ya watu wa kutosha, chek nchi kama TZ watu ni chini ya milioni 50. China ni more than 1 bilioni. Tutakapokuwa wengi tutafanya mengi, no wonder uzazi wa mpango unapigiwa debe sana africa
Afrika ndo sehemu pekee inayo support life, hakuna joto wala baridi, kama ni joto linavumilika kama ni baridi inavumilika hakuna anayekufa kwa hali ya hewa, kama ulaya na asia huko.