Ubaguzi bongo upo kila nyanja,ukikutana na wa....zi kam wanazi wa UDSM si tuu watataka jua umesoma pale,ila pia uwe umesoma faculty sizizo na bifu na yao pale UDSM, wengine wakitaka jua kabila wanaanzisha kujichekesha na kukuchomekea "..Usije kuwa mtani wangu...wewe kabila gani? pia unaweza ingia line ukadhani tayari nina mtani ukataja au ukadanganya ili uingie.
Ungepaswa angalia post uliyoomba na record za wachaga katika hilo, kama ukion ahaijakaa vizuri na huwezi predict ungewatega kwa Kuwapiga swali la kijasiri katika nafasi ya maswali "hivi kabila nalo ni requirement?", wangeweza jichanganya na kushindwa uliza maswali na wangekuwa wakihisi isingekuwa nzuri kwa project yao ya kupeana ajira.Dar rushwa za kazi zipo juu sana kwa makampuni yenye watoto wa mjini wengi.