Umeshawahi kumdanganya daktari wakati ulipoenda kutibiwa hospitali?

Umeshawahi kumdanganya daktari wakati ulipoenda kutibiwa hospitali?

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Binafsi nimedanganya sana hasa pale daktari anaponitaka nisinywe pombe ili kupisha tiba,napata shida sana kuwa mkweli
IMG_20190224_221209.jpg
 
mara ya mwisho wiki iliyopita kila nikiendaga kupima napachika jina la Uwongo
 
Dokta huwa akiniulizaga mara ya mwisho ulipima lini...hapa huwa nadanganya waziwazi...
 
Unakunywa pombe kiasi gani? Hili swali ni nadra sana kupata jibu la uhakika.
 
Mi nilimdanganya nilipokwenda nilikuwa naumwa na mbu.pu. Siku hiyo nilipiga game usiku kucha kuamka mbu.pu zimevimba nikamwambia nimeamka nimekuta zimevimba zenyewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
 
Back
Top Bottom