Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Kuna dawa haziendani na pombe hivyowunajikomoa mwenyeweBinafsi nimedanganya sana hasa pale daktari anaponitaka nisinywe pombe ili kupisha tiba,napata shida sana kuwa mkweliView attachment 1031240