Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,464
Kwa hiyo kuna mtu amezaa kama ulivosema hapo juu? yaa inatokea sana ila huwa hatuikubali kimaadili kabisa
kuna msichana alikuja kufanya kazi kwa sister za ndani akagundulika mjamzito kumuuliza ya nani kasema amekuja nayo anahisi
kabla hajaondoka mdogo wa mama yake alimbaka
Pole......
Kama hujawahi sikia au ona ...
Nenda mkoa mmoja unaitwa Singida,fika Wilaya moja inaitwa Manyoni,mtafute mtu mmoja al-maarufu Mzungu-Ameoa mtu na mdogo wake na amewazalisha wote na anaishi nao wote hadi leo hii,huyo bwana ana wake watatu,kati yao wawili ni mtu na mdogo wake!!! Hilo la Mussa lipo la Firaun katika mji huohuo tafuta mtu mmoja mheshimiwa wa siku nyingi D1 yeye alishawazalisha ndugu watatu! Nenda ukashangaye!!
Sio mageni sana hutokea mtu anazaa na babake mzazi dunia ya leo seuze kaka na dada .
asante. kaka wa2 kudate the same girl au wadada wa2 kudate the same guy bado sijaona
Sorry for misunderstanding. i said - wakaka wawili kudate the same girl?
Thats not healthy...kwani wanaume/wanawake wameisha mpaka ndugu washee mmoja?!<br />
<br />
Eti Afro ....unaweza kuniruhusu nimchukue desh desh?!
Hahahah...kisa?!Duhhh
Usije ukamfanya akimbie bila viatu...
Hahahah...kisa?!
Mhh wanajuana?Sorry for misunderstanding. i said - wakaka wawili kudate the same girl?
Mhh wanajuana?
Mhh wanajuana?