Umeshawahi kuona au kusikia hii?

Umeshaambiwa hao wawili wadada/wakaka wanakua ni ndugu!!

Afro i wanna know now!!Inahusiana na thread...toa mfano hai!!

Nawe nayo umezidi usumbufu

haya mfano huu hapa

Charlie Lindbergh

aliekuwa mmoja wa Pilot bora in US history
umaarufu wake uliongezeaka kwa kuwa pilot wa kwanza
kurusha ndege kutoka New york mpaka Paris mwaka 1927..

huyu alibahatika kuwa na watoto sita kwa mke wake wa kwanza Anna..

ukifuatilia history yake utaona alikuja kuwageuka wa Amerika
na ku ungana na Hitla ... sababu yeye alikuwa mpenzi wa technology etc

to make a long story short..
katika trip zake za kwenda Germany alikutana na mtu na dada yake..
Brigitte and Mariette Hesshaimer..


alizaa watoto watatu na Brigitte
na watoto wawili kwa Mariette..

ilikuwa siri kubwa sana hakuna aliejua haya
miaka hiyo..
mke wake wa ndoa Anna alifariki mwaka wa 2001 bila
hata kujua kitu chochote..

(Niliona kwenye history channel mwaka jana )...
 
Jermaine Jackson na Randy Jackson (wakaka wa Michael Jackson) wote wamezaa na mwanamke mmoja, Alejandra Genevieve Oaziaza. Soma kipande hiki toka wikipedia kuhusu Jermaine;


The Jacksons are the epitome of a dysfunctional family. And Ms. Oaziaza fits the profile of a home wrecker.
 

Hii nilikuwa sijaiona. ni balaa!
 
Acha mtu na kaka wawili na dada mmoja, katika historia ya Wa-misri au Wagiriki, au Waroma kuoana mtu na dada yake wa damu kabisa ilikuwa kawaida.

Hamna cha ajabu duniani

Yaa lakini ya kaka na dada is totally wrong and sinfull!
 
Yaa lakini ya kaka na dada is totally wrong and sinfull!

Vipi mabinamu? Maana najua huko Afrika ya kaskazini na mashariki ya kati ni sehemu ya utamaduni wao. Kuna wakati nilikuwaga napiga dei waka na wa Iran. Walikuwa ni mume na mke. Sasa katika kupiga stori siku moja wakaniambia wao ni mabinamu.

Nilipigwa na butwaa kwanza. Ikabidi nirudie kuuliza ili kuhakikisha kama hicho walichoniambia ndicho nilichosikia. Wakarudia tena kitu kile kile nilichosikia. Ndiyo hapo nikadadisi zaidi na wao wakaniambia kuwa kwao hiyo ni kawaida sana. Na walikuwepo wa Morocco na wao wakasema hata kwao nako ni hivyo hivyo.

Nikasema kweli tembea ujionee, usisikie ya kuambiwa.
 
<br />
<br />


Du pole. Inabidi jf waweke icon ya kutanabaisha jinsia. Kuna kukoseana sana, maana majina feki mengi yapo neutral.

Naonga mkono hoja.....
lakini hata wala wa fake ID's
wa kiume wataonekana wa kike
na wa kike wataonekana wa kiume
.....
kutakuwa hakuna different kwenye hilo ...
 
Yes , nimeshawahi sikia, tena kutoka kwenye familia maarufu ambayo ni Jacksons .Kaka wawili wa Michael jackson walizaa na wanamke mmoja.
 
Hapa Ryan Giggs pia anakidhi vigezo! kwa stori kamili google.
 
Mbona hivivitu vipo sana kaka, mimi naona nipoa tu maana ukoo hauendi mbali, ila inafuatana na mazingira ya kuzalishana!
 
Naonga mkono hoja.....
lakini hata wala wa fake ID's
wa kiume wataonekana wa kike
na wa kike wataonekana wa kiume
.....
kutakuwa hakuna different kwenye hilo ...

Salome halafu Dume brrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
Naonga mkono hoja.....
lakini hata wala wa fake ID's
wa kiume wataonekana wa kike
na wa kike wataonekana wa kiume
.....
kutakuwa hakuna different kwenye hilo ...

Kuna mmoja ID yake ilivyo nilifikiri ni ke, lakini baada ya kusoma post zake nikagundua ni me. Mbaya zaidi nilivutiwa na jina lake (Kuna dada mmoja anaitwa jina hilo, ni mzuri), nikawa naangalia point of weakness, ajabu ilikuwa kinyume.
 
<br />
<br />
watu wanazaa na mamamkwe sembuse ndugu wa waliokuwa nao?
 
Sindo ulivyonijibu...

BTT....haifai kabisa ndugu kushe mwanamke au mwanaume.


True indeed. Haifai dunia imejaa watu there is no need 4 two blood brothers/sisters kushare. There are enough people 4 everyone to have hundreds bila kucross pass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…