Umeshawahi kuona au kusikia hii?

Arab couuntries.... ni utamaduni wao wa kawaida...
 
huewa yanatokea isipokuwa huwa hayazungumzwi kwasababu ni mambo ya aibu!
 
start: 0:30

[video=youtube_share;haNKO9_xs84]http://youtu.be/haNKO9_xs84[/video]
 
Mbona hiyo natokea sana sema haikubaliki kisheria na maadili. Kuna dada namfahamu sana tu mama yake na mama yake mdogo waliolewa na mume mmoja (yaani mtu na mdogo wake tumbo moja waliolewa na mwanaume mmoja ndoa ya kimila huko musoma) kaazi kweli kweli
 
Kuna dume limezaa na mtu na mdogoake kule Moro na wanaishi nyumba moja hivi sasa.
 
wewe unashangaa hiyo, jamaa katia mimba mama, kisha mtoto wake wa kwanza wa kike alfu akamalizia na mtoto wa mwisho mwanafunzi wa form 2. baba alikuwa safari za kimasomo uk for 2yrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…