Umeshawahi kupigana na mtu kisa mpenzi wako?

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kupigana na mtu kwa sababu ya Mpenzi
wako,either
a boy or a girl ni UPUUZI!
Anayekupenda hawezi kukufikisha in a state ya
wewe kupigana na mtu mwingine kwa ajili yake.
Mapenzi sio sawa na Mieleka,who the cap fit doesnt apply Kamwe Usikojolee Kaburi mbele ya ndugu wa
marehemu....
 
Aisee sijawahiii ila mimi nishafatwa sanaa, kupigiwa cm na kuambiwa niachie mume wangu wkt hata yeye ajaolewa.
 
Kupigana na mtu kwa sababu ya Mpenzi
wako,either
a boy or a girl ni UPUUZI!
Anayekupenda hawezi kukufikisha in a state ya
wewe kupigana na mtu mwingine kwa ajili yake.
Mapenzi sio sawa na Mieleka,who the cap fit doesnt apply Kamwe Usikojolee Kaburi mbele ya ndugu wa
marehemu....
Mkuu hata uje na Ak47 na yalee maandaliz befor septmba 1 katu cwez gombea ndiz wakati mgomba c kuotesha mmi
 
Naanzaje kwa mfano kufanya huo upuuzi.Mi hata mtu anitukane wala namjibu kawaida yeye abwabwajeee mpaka akome.Kupigana au kutukanana kisa unampenda mtu ni ujinga wa kiwango cha lami
 
Kupigana na mtu kwa sababu ya Mpenzi
wako,either
a boy or a girl ni UPUUZI!
Anayekupenda hawezi kukufikisha in a state ya
wewe kupigana na mtu mwingine kwa ajili yake.
Mapenzi sio sawa na Mieleka,who the cap fit doesnt apply Kamwe Usikojolee Kaburi mbele ya ndugu wa
marehemu....

!
!
nshawahi kupigwa mkuu nikanwacha demu mi mbio mbaya....maana nilipigwa kofi hilo kabla sijaamua nikala mtama. Basi nilivyoinuka nilifungua mia ishirinini mkuu. Hatariii. Ila nilienda hadi kwenye kioo nikajiangaliaaaa nikarudi tena eneo la tukio ila jamaa hakutaka tena turivenji nikampotzea. Tangu siku hiyo nilikuwa najitega aje tena daaah hakurudi aisee
 
Nakumbuka nilisakwa na mikuki Usiku kucha, wakamkamata rafiki yangu...
Wakampa warning aniletee mimi.....
Baada ya muda kupita nikajoin na jamaa kum hunt girl...... Mwishoni all went well [HASHTAG]#katafunua[/HASHTAG]
 
Moja ya ujinga wa kiwango cha juu sana,yaani huwezi kupigana kisa mpenzi.Never happen before labda kama walinigombania mimi bila kujua
 
Hahahaha Itakuwa ulienda gheto kuchkua panga
 
Moja ya ujinga wa kiwango cha juu sana,yaani huwezi kupigana kisa mpenzi.Never happen before labda kama walinigombania mimi bila kujua
wengine wanaamini kwamba kupigana ndio mahaba ya dhati
 
Nakumbuka nilisakwa na mikuki Usiku kucha, wakamkamata rafiki yangu...
Wakampa warning aniletee mimi.....
Baada ya muda kupita nikajoin na jamaa kum hunt girl...... Mwishoni all went well [HASHTAG]#katafunua[/HASHTAG]
Duuh, madume wawili mnaungana kukawinda kajisichana kamoja
 
ilikua kitambo sana mkuu....by the time the girl alikua tayari engaged na msela...... to avoid more kwere we had to put her [HASHTAG]#MtuKati[/HASHTAG]
 
Naanzaje kwa mfano kufanya huo upuuzi.Mi hata mtu anitukane wala namjibu kawaida yeye abwabwajeee mpaka akome.Kupigana au kutukanana kisa unampenda mtu ni ujinga wa kiwango cha lami
Unaroho ya ki-gadafi
 
Back
Top Bottom