Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Naomba mshee experience yenu mliowahi kupigwa shoti na umeme na mlijisikiaje?
Mimi nakumbuka siku hiyo nilikuwa na kideti cha kukutana na mtoto town... Sasa zile harakati za kupendeza si nikachukua pasi ninyoshe nguo! Kumbe ule waya wa pasi umechunika, basi nilipigwa na shoti moja matata... Hadi ikabidi nilale kwa kujisikia kizungu zungu na kideti kikafia hapo...