Umeshawahi kuwaza utajionane ukija kusoma ulichoandika hapa baada ya miaka 20 ijayo?

Umeshawahi kuwaza utajionane ukija kusoma ulichoandika hapa baada ya miaka 20 ijayo?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Tuombe kwa Mungu wote tuendelee kupatiwa uzima na afya

Miaka ishirini ijayo, ukisoma nyuzi zako na comments zako zitakutafakarisha nini?

Kwa wale tunaogonga nondo baada ya nondo, tutaendelea kujipongeza kwa beer baridi sana na kupiga kifua kwamba tumehuskika kuwatoa mamilioni ya watu ujinga

Kwa wale wana harakati wa haki na amani, watafarijika kuona haki na amani zimetamalaki

KWA MACHAWA nadhani watajinyonga kwa aibu

TUENDELEE KUELIMISHA NA KUSIMAMIA UKWELI NA HAKI
 
Back
Top Bottom