Ni kweli wanaitwa Mlango wa saba niliwahi kuwa na uhusiano ofisini na binti mmoja ilikuwa ni kasheshe na bosi kila leo ilipita miezi 6 summary dismisal,MUNGU mkubwa nlipata job sehemu nyingine from no where matatizo yakaanza tena baada ya mwezi nlisimamishwa job,MAMA yangu akaniambia kama unampenzi angalia anaweza kuwa sababu ya mikosi ,before sikuwaga na matatizo ofisini kwa utulivu nlimwambia yule mdada kuna shida kati yetu uhusiano ukafa,toka nimeachana yule binti niko peace job ,hakuna mkwaruzano,wapo wanawake ni nuksi na wengine ni baraka si kwamba hampendani ila mambo hayasogei tu,kama ww ni mfanyabiashara kuna watu wakikaa dukani mauzo yanakuwa makubwa kuna watu wanafukuzisha wateja wote!