venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Wazee wa mikeka pengine ni moja kati ya watu wavumilivu sana maana inaweza tokea umebakiza mechi chache ujione milionea mwisho wa siku inabaki kuwa ndoto, Pamoja na hayo huwezi kuliwa kila siku mfano mimi tangu mwaka uanze nimebeti mara nyingi sana ila ktk hizo mara nyingi huwa siweki hela nyingi ktk kubeti huwa naanzia 1000_5000 kwa mkeka mmoja japo hiyo 1000 ni mara nyingi.
Tangu mwaka uanze hadi leo hii nimeshinda mara tatu tu [emoji23][emoji23], around mwezi wa tatu nilishinda laki mbili na sabini na moja, mwezi wa nne nikala laki na sabini na tatu, na juzi mwezi huu nimekula laki nane na elfu moja hapa niliweka 1300, mdau wa betting mwaka unaelekea mwisho hesabu zinasemaje?