Umeshinda kiasi gani cha pesa katika betting tangu mwaka uanze?

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,645
Wazee wa mikeka pengine ni moja kati ya watu wavumilivu sana maana inaweza tokea umebakiza mechi chache ujione milionea mwisho wa siku inabaki kuwa ndoto, Pamoja na hayo huwezi kuliwa kila siku mfano mimi tangu mwaka uanze nimebeti mara nyingi sana ila ktk hizo mara nyingi huwa siweki hela nyingi ktk kubeti huwa naanzia 1000_5000 kwa mkeka mmoja japo hiyo 1000 ni mara nyingi.

Tangu mwaka uanze hadi leo hii nimeshinda mara tatu tu [emoji23][emoji23], around mwezi wa tatu nilishinda laki mbili na sabini na moja, mwezi wa nne nikala laki na sabini na tatu, na juzi mwezi huu nimekula laki nane na elfu moja hapa niliweka 1300, mdau wa betting mwaka unaelekea mwisho hesabu zinasemaje?
 
Weka mikeka yako uliyokula hizo pesa, acha porojo kijana

Ukute hili jamaa halijawah hata kubet
Inaonekana unaongoza kwa kuliwa mara nyingi hasira uje kumalizia kwangu,naanzaje kuutunza mkeka wa tangu mwezi wa tatu huko hadi leo? kwahyo nikiweka hapa utaukopi ili na wewe ule?
 
Inaonekana unaongoza kwa kuliwa mara nyingi hasira uje kumalizia kwangu,naanzaje kuutunza mkeka wa tangu mwezi wa tatu huko hadi leo? kwahyo nikiweka hapa utaukopi ili na wewe ule?
Siunaona ulivo muongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bet history mikeka yote uliyowahi kubet inaiona hata ya mwaka juzi

Sasa sijui unaongea nn
 
Siunaona ulivo muongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bet history mikeka yote uliyowahi kubet inaiona hata ya mwaka juzi

Sasa sijui unaongea nn
Hahahahahahahahah
 
Siunaona ulivo muongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bet history mikeka yote uliyowahi kubet inaiona hata ya mwaka juzi

Sasa sijui unaongea nn
Hizo bet history si zina sehemu ya delete?acha kujikuta mjuaji tatizo mnapigwa sana ndio maana kwenu inakuwa miujiza
 
Kila mtu aishi maisha yake bila fatilia ya mwenzake tena ambaye hajamzaa
 
Hizo bet history si zina sehemu ya delete?acha kujikuta mjuaji tatizo mnapigwa sana ndio maana kwenu inakuwa miujiza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kukaza ubongo leta mikeka uliyokula tuoneshane kama kwel wewe unabet

Unless otherwise mod futa huu upuuzi wa kilaza mmoja ambaye hajitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…