nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Kwa kweli hayo si mapenzi ni blackmailing.
Kuna wanawake wengi tu wana hiyo tabia pia; ukiniacha najiua; na wengine wanakunywa vidawa kidogo (si dozi ya kuua mtu) ili kuonyesha kuwa they mean it.
Tabia mbaya sana.
Kuna wanawake wengi tu wana hiyo tabia pia; ukiniacha najiua; na wengine wanakunywa vidawa kidogo (si dozi ya kuua mtu) ili kuonyesha kuwa they mean it.
Tabia mbaya sana.
...usukule huo....
kujikubalisha kudhani kwamba bila yeye hakuna tena maisha...
mtu anakujengea imani kwamba ati either yeye afe (ajiue) au wewe
ufe au mfe wote sababu ya penzi...
ujinga mtupu!
sikatai kwamba watu wanauana au kufa sababu ya mapenzi, alkini hiyo ni
dalili tosha ya mtu aliyeshindwa kujitambua thamani yake kiasi kwamba
anaona maisha yake yameshikiliwa na mwingine.
mwanaume huyo anayetishia kumuua huyo binti, usikose naye tayari keshamjaza
maneno huyo binti kwamba atajiua akiachwa....hahhhh!? mapenzi si upofu, ni kuchagua kutoona!