Umesikia aloivyosema Harmonize kuhusu Harmorapa?

Umesikia aloivyosema Harmonize kuhusu Harmorapa?

don88

Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
53
Reaction score
84
HATIMAYE kwa mara ya kwanza Harmonize ameamua kufunguka kuhusu pacha tajwa ambaye ametokea kujizolea jina.

Harmonize amesema haya:

“Mara ya kwanza nilipomsikia, nilijiskia vibaya sana, nilikutana nae maisha klabu akawa analia iliniuma sana. Nachoweza kusema, ajitahidi na mimi namuombea aendeleea kukomaa atafanikiwa ili siku moja aisaidie familia yake” alisema Harmonize.

Harmonize-1.jpg
harmo-rapa23.jpg
 
Harmonize amesema haya:

“Mara ya kwanza nilipomsikia, nilijiskia vibaya sana, nilikutana nae maisha klabu akawa analia iliniuma sana. Nachoweza kusema, ajitahidi na mimi namuombea aendeleea kukomaa atafanikiwa ili siku moja aisaidie familia yake” alisema Harmonize.

Hili ndio jibu la mtu aliyestaarabika
 
Wimbo wa Harmorappa wa kumdiss Mose Iyobo umeanza kukick radioni sijui atajisikiaje?
 
Acha maneno weka mziki!!!!
Kiboko ya mabishoo!!!
Uyobo kipele
 
Back
Top Bottom