Kwa kweli, Umenena, jando la nyumbani sio jamboharmonize hanaga kelele ndicho nnachompendea..
huyu kaka kweli alienda jandoni.
hawa wengine jando la mwananyamala na amana hawajielewagi
Hahahahahaha duuuKufananishwa nae.....imagine ww ufananishwe na harmorappa utajisikiaje
Kumshuhudia kijana mwenzake akiliaSijaelewa, alijisikia vibaya kivipi?