Harmonize kiukwel ukifuatilia sana interview zake sio mtu wa majigambo sana,,,na hua ana show respect sana kwa wote waliomfanya aweze fika hapo alipo,,,kama muda wote kakaa kimya then leo ndio aongeee inaonyesha ni ukomavu wa akili...
Kwa ujumla wasafi wote huwa hawapendi kujenga bifu na wasanii wa Tz kwa sababu wapo level tofauti ,So kujenga bifu itakuwa kama wanajishushia heshima tu ndio maana hata uwatukane vipi wanakuangalia tu na wanakupotezea
why katoa kauli baada ya kumsikia bosi wake akitoa kauli positive?alitakiwa toka mwanzo aonyeshe kumpa nafasi tu,huu tunaita unafki ingawa simkubali mayo rapa