Umesikia hii

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
28
Dada mmoja anamwambia mumewe"Juma ananitongoza ninamkatalia lakini hasikii"(mume)"mkatalie tu"(mke)"nimemkatalia lakini kasema atanidondoshea laki tano,nikiokota tu atakuwa kamaliza"(mume)"aa kama ni hivyo ni rahisi tu,kubali halafu uokote haraka haraka.Demu kaenda,baada ya muda jamaa anampigia simu mkewe,"umefanya Kama nilivyokuambia?"(mke)"ndio,Ila amedondosha chenji chenji ndo namalizia kuokota mme wangu"-Kama ni wewe ungefanyaje?
 
Duh hii kali kama atakuwa alidondoshewa shilingi kumi kumi za laki tano itachukua muda kweli kurudi
 
Utafanyaje na ulimwambia mwenyewe aende kwa Juma, chezea Juma eeh, utamsubiri tu aje na hizo hela na UKIMWI juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…