marekani walitengeneza mtambo wa kugundua wezi,wakafanyia majaribio kwa nchi nne za africa .
- south africa ulichukuwa siku saba ukakamata wezi wanne,
- nigera siku moja wakamatwa wezi 30,
- kenya ndani ya masaa 6 wakamatwa wezi 69 na
- tanzania ndani ya saa moja tu na mtambo wenyewe ukaibiwa......duh
[/list]