Umesikia kuhusu Irene Uwoya kuogea maziwa?

Status
Not open for further replies.
Uzuri sa hivi wanaosimamia shoo ni wale waarab wa iringa wenye kiwanda cha maziwa,so possibly maziwa anayuchukua tu kule kiwandani kwa mzee baba.
 
Nimeangalia mahojiano yake kweli ana muonekano mzuri, ila sasa umri unaenda sura inaonesha utu uzima ajitahidi apate mume atulie kwenye ndoa, huu ustaa una mwisho wake asije kuzeeka mwenyewe.
 
Sio kweli. Maziwa yalivyo na kashombo
Na mimi nilikuwa nawaza hiyo shombo si itakuwa balaa,au ndio maana labda ikawa sababu yule jamaa walioachana naye vilimshinda...?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…