Umesikia kuhusu Irene Uwoya kuogea maziwa?

Status
Not open for further replies.
Krish anasoma feza
so ni lazima ada iwe hivo
Nimeirudia hiyo clip nikabaki nacheka
Kaanze 3400, 5400 mwisho 8400 USD
Afu anasema huwa anakosa saa zingine mtoto wake anamwambia alipe shule za kawaida
 
We unasema maziwa, huku uswahilini sisi tunaoga gongo tena mchana kweupe kabisa. Njoo Magomeni Kagera uone.
 
Sidhani kama ni kuogea maziwa literary.
Wasichana wa kinyarwanda, wale wanaofanya wanyarwanda waonekane ni tofauti, wawapo wadogo huwa wanapakwa mafuta ya maziwa mwili mzima (samli). Na hata wakikua hawa mara moja moja sana huendelea kujipaka, hicho ndiyo kinawafanya waonekane vile walivyo. Hata wamasai pia hujipaka hayo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…