Umesimamishwa na polisi wakati ukiendesha: Zijue haki na wajibu wako

Umesimamishwa na polisi wakati ukiendesha: Zijue haki na wajibu wako

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
73,773
Reaction score
102,126
Zijue haki na wajibu wako ukisimamishwa na polisi wa usalama barabarani....

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • traffic.png
    traffic.png
    89 KB · Views: 273
  • 5946970_orig.png
    5946970_orig.png
    74.7 KB · Views: 279
Sheria bwana, usitoe wala usipokee rushwa, lipi jema umpe buku mbili muachane ama umuache akague gari apate makosa 4?

Ila askari akakunyooshea mkono wa kushoto usisimame wewe ongeza gia!
 
Sheria bwana, usitoe wala usipokee rushwa, lipi jema umpe buku mbili muachane ama umuache akague gari apate makosa 4?

Ila askari akakunyooshea mkono wa kushoto usisimame wewe ongeza gia!

Dawa hapo ni kuwa na vitambulisho vya Taifa na viratibiwe kwenye data base, kosa lake liingizwe huko na faini zikatwe moja kwa moja kwenye akaunti yake kwa mitambo maalumu ya kiteknolojia. Komputa bwana!!! Hapo rushwa inaweza kushika adabu.
Dawa halisi ni wachungaji na mashehe wetu wa dini waache kufagilia sadaka watufundishe ukweli na wachukue hatua za kiroho na wawe mifano ya kuigwa katika nidhamu za kiroho. Hapo walaji na wapokea rushwa watashika adabu.
 
Back
Top Bottom