Dawa hapo ni kuwa na vitambulisho vya Taifa na viratibiwe kwenye data base, kosa lake liingizwe huko na faini zikatwe moja kwa moja kwenye akaunti yake kwa mitambo maalumu ya kiteknolojia. Komputa bwana!!! Hapo rushwa inaweza kushika adabu.
Dawa halisi ni wachungaji na mashehe wetu wa dini waache kufagilia sadaka watufundishe ukweli na wachukue hatua za kiroho na wawe mifano ya kuigwa katika nidhamu za kiroho. Hapo walaji na wapokea rushwa watashika adabu.