Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
salama wakuu, kwanza naomba kupropose kuwa tarehe 9 desemba kila mwaka uwe mwanzo wa kujadili usomaji wetu wa vitabu wa mwaka husika huku tukisherekea uhuru wa kifikra utokanao na usomaji na pia sababu tunahitaji muda wa kujadili kabla mwaka hujaisha. Kama mods wataona inafaa wawe wanatuwekea uzi kila 12/9
1.Born a crime by Trevor Noah. Hiki kitabu kinazungumzia maisha na makuzi ya comedian Trevor Noah wakati wa ubaguzi wa rangi huko sauzi. Kilitajwa sana mwaka jana, nikaona nikisome maana namkubali sana Noah, ni kitabu poa sana.
2.Asia's Cauldron: The south China sea and the end of a stable pacific. Hiki kinaelezea mgogoro wa bahari ya kusini China, nchi zinazohusika na nafasi ya Marekani kwenye huo mgogoro. Ni kizuri kama upo interested na hiyo ishu.
3.Out of the Gobi: my story of China and America bya Weijian Shan Kinazungumzia maisha ya huyu bwana kwenye China ya Mao hadi kuwa Prof US. Kizuri sana, Na kinamatukio mengi ya kusisimua, kushangaza, kuhuzunisha na kuchekesha.
4.China's Disruptors. Hiki kinazungumzia jinsi makampuni binafsi, hasa ya tech yanavyoibadilisha China. Pia kinaeleza kwa kirefu mazingira ya biashara China. Nilikipenda.
5.AI superpowers:China, Silicon valley and the New world order.Mwandishi anaeleza historia na applications za artificial intelligence, pia anaeleza jinsi China ilivyo kwenye nafasi nzuri ya kuwa AI superpower. Nimejifunza Mengi kuhusu AI.
6.The Yom Kippur war: The epic encounter that tranformed the middle east. Vita ya 1973 kati ya Israel dhidi ya Misri na Syria.
7.Sapiens: A brief history of humankind by Yuval Noah, niliona kimetajwa mwaka jana, ni kitabu kizuri sana na kimejadiliwa sana humu.
8.The Alchemist: bonge la kakitabu, nilikuwa nakapita, ila baada ya kutajwa sana mwaka jana ikabidi nikasome.
9.The great mortality. Hiki kinazungumzia jinsi bubonic plague(Tauni) ya 1340-1400 ilivyoua watu huko Ulaya na matokeo yake kwa jamii.
10.Baada ya kusoma hicho hapo nikasema nijifunze na Spanish flu, nikaanza kusoma,The great influenza. Hiki sijamaliza na sijui kwanini, maana ni kitabu kizuri sana, kinazungumzia mabadiliko ya medical education huko US, Mabadiliko(mutation) ya virusi vya mafua, mapambano dhidi ya milipuko ya mafua. Natumaini ntakimaliza mwakani.
11.The last black unicorn by Tiffany Haddish, Ni memoir ya huyu comedian, sehemu zingine kipo deep.
12.Is everyone hanging out without me by Mindy Kaling. Namkubali sana huyu comedian, nikaona nimsome nicheke, hakuniangusha.
13. Katika kusoma comedy nikakutana na a confederacy of dunces nipo nusu, kizuri sana.
14.Nilikuwa natafuta SciFi series ya kusoma. Nikapata The expanse nimesoma kitabu cha kwanza, Leviathan wakes. imeanza vizuri na ni ya tofauti sababu imejikita ndani ya solar system kwahiyo inakuwa kama halisi hivi.
15. Kaptula la Marx. Nilikipata kwenye uzi wa GuDume kuhusu hiki kitabu. Nafikiri hii play ni timeless japo sidhani kama tutaweza kuiona majukwaani.
16. The truth about Muhammad. Kinaelezea uhusiano wa islamic extremists na matendo/mafundisho ya mtume, Ila kimenifanya nimheshimu Muhammad kama kiongozi na kamanda.
17.Democracy, The God that failed. Hiki bado nakisoma, kinavutia kusoma sababu kinatoa mawazo mageni mbali na nilivyozoea kufikiri.
Nimesoma vitabu vingi baada ya kutajwa wadau humu, nimeanza kusoma The gulag Archipelago baada ya kutajwa humu Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?
Karibuni kwenye mjadala wakuu, wachache kwa kuwataja Malcom Lumumba Alisina Calfornia Kiranga @D vincci. karibuni nyote.