Umesoma vitabu gani mwaka 2019?

Hongera sana mkuu, mwaka huu nilikua nahangaika na ripoti yangu tuu,
Nimesoma vitabu vichache mno na hata sijamaliza vingine
 
Ndugu yangu unahitaji trophy hakika.
Huu mwaka nmefanikiwa ongeza cheo ofisin, jenga nyumba, ila ukiniuliza kikubwa nilichofanikiwa ni kufikia hii idadi ya vitabu....nataman kila mtu afungue na kupata madini ya kusoma vitabu maana ndo vimechangia asilimia 70 ya nilipofika,,, I guess inakuja swala la ukitakamjua uhondo wa ngoma ingia ucheze
 
spirit hiyo nilikuwa nayo sijui imepoteaje nimekuwa addicted na movie & music but kuna channel moja telegram ipo ni ya vitabu tu since nimejiunga sijawahi soma hata kitabu kimoja humo.
 
spirit hiyo nilikuwa nayo sijui imepoteaje nimekuwa addicted na movie & music but kuna channel moja telegram ipo ni ya vitabu tu since nimejiunga sijawahi soma hata kitabu kimoja humo.
Mi nilikua gamer sijagusa ps4 mwaka wa 2....hayo yote ni mapito na kukupotezea mda...jiulize toka umemaliza series nini ulichoongeza zaidi ya kujilaumu kupoteza mda
 
Mi nilikua gamer sijagusa ps4 mwaka wa 2....hayo yote ni mapito na kukupotezea mda...jiulize toka umemaliza series nini ulichoongeza zaidi ya kujilaumu kupoteza mda
acha tu ndungu yangu bando hazikai kwanza GB zinakatika tu but next year if God wishes nitaanza kusoma vitabu maana nitaongeza maarifa pili nikakutana na vocabulary nyingi ambavyo itaongeza uwezo wa kujua baadhi ya maneno.
 
Naomba kwanza nikupongeze kwa kuwa mmoja ya Watanzania wachache wasomaji wa vitabu. Ntaleta list ya vitabu nlivyosoma this year so soon.

 
The wolf of wall street naweza kipata mkuu ?
 
Nimesoma vitabu hivi:
1. The Spirit of the Gospel
2. Messenger of the Cross
3. The Glorious Church
4. Spiritual Authority
5. Normal Christian Life
6. The Release of the Spirit
7. The Spiritual Man, vol 1,2,&3
8. How to Study the Bible

Vyote hivyo author ni -Watchman Nee,

9. Na sasa naendelea na: THE HOLY BIBLE.

Huyu jamaa alikuwa na MAFUNUO sio ya kawaida. Nikushauri nawe uvitafute uvipitie, vimo mtandaoni.
 
We jamaa ukristo umekukaa sana moyoni....jiongezee maarifa mengine kwa kusoma vitabu visivyohusiana na dini!
 
Amen....komaa kaka kikubwa ongeza ujuzi
 
What are the Disadvantage of reading books...???
 
Hongera sana Mkuu Kwa Usomaji Wa vitabu Mwaka 2019.


Congratulations!!!!!
 
The Alchemist & Hicho cha Trevor Noah huwa navitilia uvivu kuvisoma kweli..

Mwakani nitajitahidi kuvipitia Walau nione yaliyomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…