Umesoma vitabu gani mwaka 2019?

Nimesoma kitabu cha ilani ya chama
Umenikumbusha mbali kweli,mpaka kwa katiba Za vyama ACT,CHADEMA & CCM.


Sasa hivi vijana wengi mtaani kwetu wapo na kadi za Ccm kwa kuwa kunafrusa kibao wao wadai.


Tukiwa tunapiga soga za vijana za hapa na pale,Kijana mmoja nikamuuliza,Ahadi ya nane 8 Ya Mwanachama inasema:

-Nitasema Kweli Daima,Fitna kwangu Mwiko"....Kweli ni nini...???


Jamaa mmoja ambaye si mwanachama hata kidogo akanambia wewe bwana wacha Kutuletea Pontius Pilate gavana katili wa kirumi Au Diogenes wa sinope.

Nikamjibu, next decade Tutakuwa na Ma'Wicked & Unscrupulous Politicians Kibao.

Akakandamizia siasa zetu lazima ujivue ubongo na utu,lasivyo utaonekana habari ya jana iliyochacha kwa Mama ntilie.


Nikwambia basi ngoja kwa nyakati hizi nikaepembeni huku nikijipoza na Ugali wa Nature(Kukataa Ugali si U-bossi Sana sana ni Ujinga)
 
Pamoja na changamoto za hapa na Pale nilifanikiwa kusoma vitabu kadhaa.

1.Nothing To Envy:Ordinary lives in North Korea By Barbara Demick.

2.The Jewish Revolutionary:Jewish Statehood By Isreal Eldad.

3.21 Lessons for the 21 Century By yuvan Noah Harari.

4.Zealots: The Life & Times of Jesus of Nazareth By Reza Aslan.

5.Aesop Fables:Hiki nakisoma karibia kila Mwaka.

6.The Road Ahead By Bill gates.

7. Jesus Seminar: The deeds & Saying of Jesus of Nazareth.

8.The Dialogue in Hell Btn Machiavelli & Montesquie.

9.The Prince by Nicolo Machiavelli.

10.Fakes:Fake Money,Fake Teachers,Fake Assets By Robert Kiyosaki.

11.Behind The Presidential Curtain😛aul kagame By Nobel Marara.

12.The Malleus Maleficarum.

13.Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana 1996.
 
Hongera sana kiongozi, me nimesoma 20 tu. Nitakuja na list kesho.
 
Ahaa..ahaa... mkuu uko vizuri, naomba soft copy yake. Kama ni cha siri sana; ni PM. Aksante!
Mkuu sinacho hicho. Nilikuwa namjulisha tu jamaa kuwa duniani kuna vitabu vya kigaidi.
 
What are the Disadvantage of reading books...???
Zipo disadvantage nyingi sana kwa kusoma vitabu
Moja unaweza kupoteza mitazamo yako ya awali kuhusu imani na watu,
Inaweza kukujenga ukawa katili
Ukaingia kwenye mitazamo tofauti eg ushoga,
Unaweza kugundua mbinu za maangamizi,
Lakini unaweza kuwa addicted na vitabu ukapoteza muda wa kufanya mambo mengine na mengine mengi
 
Aisee ..ngoja nihifadhi mawazo yangu..nadhani umetendea haki ubongo wako
 
Mkuu mie nilipitia na hiki kitabu ni kizuri japo sijakimaliza.
 
Hongera sana mkuu, ukiachana na vya Yesu. vipi, viwili unapendekeza?
 
QUARTER 4 BOOKS

39.Hurricane A memoir-Rick Ross

40.The Huawei story-Tian Tao wit WUcHUNBO

41.The Autobiography of GUCCI MANE with Neil-Martinez-Belkin

42.TIM COOK:The genious who took aple to next level-John Ive

43.My Journey into AI-KAI Fu Lee

44.New confession of economic hitman-John Perkins

45.Mind your mind-Remez sasson

46.The Psychological werfare-Michael stevens

47.The prince-Nocollo Machiaveli

48.Rosa Mistika-Euphrase Kezilahabi

50.Conversation with myself-Nelson Mandela(still on it)

51.Kaptula la marx-Euphrasia Kezilahabi
52.Kochland(The secret history of Koch industries and corporate power in America)-christopher leornard

BAdo naendelea mdogo mdogo
 
Mkuu una soft copy ya hiyo a Confederacy of dunces?...
 
Vitabu nilivyosoma mwaka Jana...
1. Vuta n' Kuvute
2. Pili Pilipili
3. Rage of Angels
4. You Find Him I'll Fix Him
5. We'll Share a Double Funeral
6. The Thirty Nine Steps
7. Oliver Twist
8. Titi La Mkwe
9. Tausi wa Alfajiri
10. Je, Tutarudi na Roho Zetu
11. Treasure Island
 
Hivo vitabu vya kiswahili softcopy navipataje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…