Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Jana nilienda salon moja kusuka mitaa ya Sinza, nikakutana na dada anasimulia kwamba yeye huwa akitembea na mtu, hafuti namba yake, na yeye hawezi ku save number ya mtu ambaye hana interest naye za kingono. Nikashangaa sana.
Nilipofika home kwenye mastory na mzee, nikamwambia hiyo issue, kwani unadhani hata alishangaa? Anasema wao wakiwa vijana walikuwa wanaorodhesha kwenye daftari orodha ya kila mwanamke anayetembea naye.
Duh.... bora alitumika huko, sasa amezizoea. Ni aina ya mwanaume ambaye simu yake haweki password na anaiacha akiwa huru.
Namuamini sana