Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Sawa pamoja na wewe haumwi kitu lakini waweza kufanya ( Experiment) majaribio tu kwa kunywa mkojo wako. Si vibaya kujaribu mkuu kuona taste yake ukoje?
....Mkuu MM mie sina ugonjwa wa aina yoyote ile namshukuru Mungu sana kwa hilo na wala sikupinga kwamba kwamba mkojo hautibu maradhi au kudai kama una madhara ya aina yoyote ile.
Sawa pamoja na wewe haumwi kitu lakini waweza kufanya ( Experiment) majaribio tu kwa kunywa mkojo wako. Si vibaya kujaribu mkuu kuona taste yake ukoje?
Mkuu Distazo unaharibu sasa wewe hii Topic ukisha weka katika jokofu huo mkojo utakuwa umesha haribika haufai kuwa dawa unatakiwa ukiutowa kwenye naniihi Penis yako uunywe bado upo fresh sio kuuweka kwenye motoUkitaka kunywa mkojo wako kwa raha bila shida jaribu kuukinga halafu uuweke ktk jokofu upate baridi.
Angalizo: Usitumie mkojo uliolala overnight au uliochacha!
Usijali mkuu wangu wa zamani nick name yako sijahisahau (Bubu atakapo sema) Mambo yatakapomzidia .....
Mhhhh!!!! MM naona umenikamia leo 🙂🙂🙂 kalale sasa usiku umeshakuwa mwingi hahahahah lol!
....Hongera zako Mkuu....Ila napiga picha kichwani ulivyokuwa ukiukinga mkojo wako sijui kwenye glass au kikombe....halafu ukiupeleka kinywani na kuanza kugombana na ladha yake ambayo sidhani kama inapendeza mdomoni.
Ukitaka kujuwa mkojo wako unavyotibu maradhi ya aina gani hebu soma hapa bonyeza hapa Urine Therapy TestimonialsMie nina mwaswali kadhaa..
Vipi kama unaumwa UTI. ....AU Magonjwa mengine kama hayo?unaweza pona ukitumia mkojo huo?
Pili ni magonjwa gani mengine yanatibiwa kwa mkojo zaidi ya vidonda?je ugonjwa kam PID ??????????Unapona kwa mkojo?
Mkuu itabidi uwaeleze wewe wagonjwa hao wa Vidonda vya tumbo nakumbuka mimi niliwaambia Wanachama Wengine walinibishia mpaka wewe mwenyewe ulipo jaribu kutumia hiyo Dawa imekusaidia yaani kunywa huo mkojo wako mwenyewe unatibu maradhi mengi tu waliponibishia ni hii hapa bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/26847-dawa-ya-vidonda-vya-tumbo.html
Ukitaka kujuwa mkojo wako unavyotibu maradhi ya aina gani hebu soma hapa bonyeza hapa Urine Therapy Testimonials
We nambie kwa kifupi.sina nafasi ya kubonyeza hiyo link....
If you are being treated for PIDMie nina mwaswali kadhaa..
Vipi kama unaumwa UTI. ....AU Magonjwa mengine kama hayo?unaweza pona ukitumia mkojo huo?
Pili ni magonjwa gani mengine yanatibiwa kwa mkojo zaidi ya vidonda?je ugonjwa kam PID ??????????Unapona kwa mkojo?
Asante!If you are being treated for PID …
Take all of the prescribed medicine. Even if the symptoms go away, the infection may still be in your body until the treatment is complete.
Take good care of yourself.
Tell your partner(s) that you have an infection. Any recent partner will need to get checked and get medicine - even if feeling fine. If your partner(s) are not treated for any possible infections, such as chlamydia or gonorrhea, you can get PID again.
- Rest in bed. You need several days of bed rest to treat a serious infection.
- Drink lots of fluids, and eat a healthy diet.
- Do not douche or use tampons.
- You may take aspirin, ibuprofen (like Advil), or acetaminophen (like Tylenol) for pain. You may also put a heating pad on your stomach.
Do not have sex until you and your partner(s) have finished all the medicine, have been examined, and know that treatment is complete.
Keep your medical appointments to be sure you are better.
Complications of PID
If pelvic inflammatory disease goes untreated, it may result in serious, life-threatening complications. Infection can spread to the blood or to other parts of the body. PID can also result in the rupture of a fallopian tube.
Pelvic inflammatory disease also increases the risk of ectopic pregnancy, a potentially life-threatening condition in which a fertilized egg implants outside of the uterus, usually in a fallopian tube.
The signs of ectopic pregnancy include
If you think you may have an ectopic pregnancy and can't reach your health care provider, go to a hospital emergency room right away.
- irregular bleeding from the vagina
- pain in the abdomen or tip of the shoulder
- sudden weakness or fainting
Bidhaa ipi tena mbona huisemi mkuu?Ile bidhaa nyingine inatibu nini...lazima itakuwa dawa pia...
Bidhaa ipi tena mbona huisemi mkuu?