hivi chai ikiwa ya moto sana
miluzi hairuhusiwi ??????lol
halafu kaka mwenyewe yuko kwenye mambo ya marketing hasa sijui inakuwaje.
table manners muhimu nitahakikisha kibinti changu nakitrain mapema.
au apooze kwa basi
unakunywa taratibu,sio unavuuuuta hadi unakua kama una nyanya
shingo juu,...
au ukiona ya moto punguza speed ya kupata breakfast,...
Ingekua uji unaweka kwenye bakuri una zungusha haha
Hahahaha lol!!!dah... speaker wala na mbwa weye?? au afananaye na mbwa
Acha hiyo wandugu, kuna lijamaa week end iliyopita limetema makohozi makubwa kwenye sakafu ya cement hapo hapo lilipokaa karibu na mimi, nilichukia nikatukana na kuondoka.
Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?
una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na
mbwa sana?
Nope,ume haribu lunch yangu!
Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?
una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na
mbwa sana?
Nope,ume haribu lunch yangu!
Madongo mpaka JF???!Enhe kwani mbwa analulaje vile....??
Lizzy ushawahi sikia paka anavyokunywa maziwa, basi hivyo hivyo, mimi nafanya kazi na jamaa hii ndo kula yake, kwa jinsi navyomuheshimu nashindwa kumwambia, basi ikikaribia lunch time ya kula chakula cha mchana naanza kumchikia, hii inakera sana naona bora mtu aj*mbe tu nijue moja kuliko tabia hii. Inanikera more than maelezo.
...yah huyo hafai. Ila kuna wengine wanatafuna kimya kimya mno bana..
raha ya chakula ni "...issshhh, ...aaah, na yalaaa!" za hapa na pale!
Chakula gani wazungumzia mwenzetu, damu? Maana mbu ndo zenu.
huyu ana waza damu mda wote tu
hahaha,i feel ya!khaaa,table manners muhimu bana!jana nimeingia kwenye mgahawa nikalazimika ku-share meza na ustaadhi mmoja.kwanza ana ndevu kibao,afu anakula ugali na nyama na beans kwa uma na kisu.lol,anatafuna kama mashine ya kukoroga keki!mdomo umetapakaa misosi kama sufuria iliyosongea ugali,ndevu nazo zimeshikilia ziada ya msosi!he spoiled my lunch japo nilijitahidi sana kutomuona ila hizi compound eyes,mweh!