Chapakila
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 285
- 1,383
Wana zengo siku flani weekend moja amazing na washkaji tunakula vyupa katika story mbili tatu ikafika mada mezani watu wakijinadi wamegegeda mechi zakutosha zinaweza fika hata mechi mia (duuh!),basi nkasema kama sensa ipo na kupitia zoezi hilo wanajua tupo wanainchi wangapi sio kesi namimi nka fanya sensa ya migegedo yangu.
So nkalist mikoa nliowai kuishi na kupita na kukumbuka mechi zote zikiwepo za chap chap, za ma beki 3,za milupo,na za appointment. Nlifanya zoezi hili kwa umakini na ndani ya dakika 5 nka kamikisha zoezi, namba za mechi zangu hadi sasa ni 87.
Vipi, wewe Upo mechi ya ngapi hadi sasa mwana zengo? Wapanda mnazi kwa mkono mmoja hizo mechi atuzi hesabu hapa ni iwe mgegedo haswaa,
nawasilisha hoja👔