Umetimiza mechi Ngapi?

Chapakila

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
285
Reaction score
1,383
Wana zengo siku flani weekend moja amazing na washkaji tunakula vyupa katika story mbili tatu ikafika mada mezani watu wakijinadi wamegegeda mechi zakutosha zinaweza fika hata mechi mia (duuh!),basi nkasema kama sensa ipo na kupitia zoezi hilo wanajua tupo wanainchi wangapi sio kesi namimi nka fanya sensa ya migegedo yangu.

So nkalist mikoa nliowai kuishi na kupita na kukumbuka mechi zote zikiwepo za chap chap, za ma beki 3,za milupo,na za appointment. Nlifanya zoezi hili kwa umakini na ndani ya dakika 5 nka kamikisha zoezi, namba za mechi zangu hadi sasa ni 87.

Vipi, wewe Upo mechi ya ngapi hadi sasa mwana zengo? Wapanda mnazi kwa mkono mmoja hizo mechi atuzi hesabu hapa ni iwe mgegedo haswaa,

nawasilisha hoja👔
 
Kufanya ngono mnajisifia na takwimu zinawekwa kwa majigambo...

Lakini mkiitwa kwenda kupima matokeo ya kufanya ngono, mnakimbia...
 
Aboud tatu, level seats.

Kuna mazoezi, mechi za kirafiki, mechi za ligi kuu na zile mechi za UEFA plus international friendly matches.

Hapo hata kuhesabu siwezi kabisa idadi ya mechi nilizocheza.
Zaidi ya yote huu ni upuuzi tu.

Mungu naomba anisamehe.
 
Kufanya ngono mnajisifia na takwimu zinawekwa kwa majigambo...

Lakini mkiitwa kwenda kupima matokeo ya kufanya ngono, mnakimbia...


Acha unoko, wee zile za kibaba baba na ki mama mama ulicheza mechi ngapi?
 
Kwa mwaka huu peke yake wamefka 28 na nina wastan wa 20 kwa mwaka na shughuli ilianza kuchabganya toka 2008 ,ebu nipe heasbu wamefika wangp? Ndo mana bado nauliza hivi ukimwi upooo ?
 
Ile ilikuwa ni fujo isiyoumiza...maana ilikuwa kinguo nguo

Kuna waliokuwa wanafanya kikwelikweli hadi wakitoka mafichoni mnasikia harufu ya kimpolimpoli.... Hii nakumbuka kabisaaaa nilisikia harufu kwa mschana na mvulana flani baada ya kubadilisha mchezo tukawa tunacheza rede ya wote.....
Na sikuwa peke yangu niliyesikia harufu hafi tukawaambia wakaanza kuona aibu. Maana siku hiyo ndo walikjwa sterling wa kuwa baba na mama kwenye kamchezo..

Watoto tulilala pamoja wao wakaenda kulala mafichoni aahahahaaa utoto bana kumbe wskafanya kweli, sijui nanai alimshawishi mwenzake.....
 
Hahaha...eti kimpolimpoli, we used to call kunuka utoko pls never mind my language vile tu unajua ya kale dhahabu...
 
Hahaha...eti kimpolimpoli, we used to call kunuka utoko pls never mind my language vile tu unajua ya kale dhahabu...

Won't mind, today is Friday and my dancing vibe is on, though sauti haitoki ila miguu iko fit sanaaaa, viatu vikizingua navitoa napekua aahahahahahaa

Have a Good Friday...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…