Umetumia njia gani kujua mpenzi wako uliyenaye anafaa kuwa mzazi au mlenzi wa wanao?

Umetumia njia gani kujua mpenzi wako uliyenaye anafaa kuwa mzazi au mlenzi wa wanao?

Shuku_

Senior Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
174
Reaction score
216
Habari zenu wakuu wa MMU 👋🏽 👋🏽

Kila mmoja wetu ana njia zake za kubaini jambo LILILOFANYIKA au LITAKALOFANYIKA kwa njia yake ya udadisi tu wa kibinadamu.

Udadisi huo huja pale ambapo MMOJA wetu anaona mashaka kwa MWENZIE ili kubaini ukweli wa jambo fulani la nyuma au mbeleni kupitia njia yake hiyo ya kidadisi.
_____________________________

Wewe, binafsi umetumia njia gani kujua kuwa MPENZI, MKE au MUME uliyenaye naye anafaa kuwa MZAZI au MLEZI bora wa wanao?
 
Attachments

  • images (5) (5).jpeg
    images (5) (5).jpeg
    25.2 KB · Views: 5
Kila mtu anasifa zake anapotafta mwenza sifa ninazo hitaji mm haziwezi fanana na sifa unazoitaji ww so tumia akili yako kumtafuta
Mwenza wako.
 
Habari zenu wakuu wa MMU 👋🏽 👋🏽

Kila mmoja wetu ana njia zake za kubaini jambo LILILOFANYIKA au LITAKALOFANYIKA kwa njia yake ya udadisi tu wa kibinadamu.

Udadisi huo huja pale ambapo MMOJA wetu anaona mashaka kwa MWENZIE ili kubaini ukweli wa jambo fulani la nyuma au mbeleni kupitia njia yake hiyo ya kidadisi.
_____________________________

Wewe, binafsi umetumia njia gani kujua kuwa MPENZI, MKE au MUME uliyenaye naye anafaa kuwa MZAZI au MLEZI bora wa wanao?
Alikua na sifa zifuatazo
1. Haombi pesa
2. Akija geto anafua na kufanya usafi
3. Hakosi ibada
4. Hana Kadi wala hashabikii CCM
5. Ni msafi Sana
6. Sio shabiki wa YANGA
 
Bado nipo kwenye daladala nawapasia na wengine wamuonje ntakupa jibu baadae🥶
 
Back
Top Bottom