Umeumizwa moyo mara ngapi mapenzini?


Pole sana SL.

 

pole sana sana.....,
 
Kwa sababu mapenzi yana raha yake hasa ukibahatika kuyapata ya kweli siyo yaliyojaa usanii.


swadaktaa hapo bubu umesema leo!! ......

binafsi mimi napenda mwanamke aliyeumizwa moyo.. najua atakuwa makini na muaminifu katika mapenzi.. :amen:
 
Kuumizwa moyo kimapenzi ni daraja la kupita, ni jembamba hilo!!! Yaani hatari sana, usiombe kulipita daraja hilo.
 
Thanx a lot nnunu!
SL nadhani ni mie niliyekuumiza na huku mbele wala hapakuwa kwema. Natamani kukutafuta lakini naogopa kwa kuanzia. Tusameheane na nakuombea saana siku zote maisha yasonge mbele.
 
Mara moja nakusahau cjuwi! Ila always i think postive!
 

Acha kuapiza SL,hiyo ni kazi ya Maanani.Ishi kwa imani na pokea kila linalokuja kwako kwa unyenyekevu maana yote ni mafunzo.Binadamu tuko tofauti na wa kweli wapo pia.Just relax and move with the tide,usiwe mgumu,elea tu kama vile uko ziwani.Best wishes,siku zali likikudondokea usiache kunialika kwenye harusi!
 
Si rahisi kutofautisha hasa pale penzi linapokuwa changa lakini kadri siku zinavyosonga mbele utaanza kuyaona mambo anayokufanyia mwenzio ambayo hayaonyeshi upendo wa dhati na hata uaminifu na mengi mengineyo yanayohusiana na mapenzi.
Swadakta mkuu,nimekupata sana,na hapo kwenye red ndo maana hufika pahala ndani ya mahusiano mmoja huona mawenge na kuamua 'kumuumiza mwenza wake' na aliyeumizwa hushia kusema 'kaniacha wala sijui nilimkosea nini'.
 
Nimekusamehe lakini sintokusahau. Nakuombea mema pia mpendwa!
SL nadhani ni mie niliyekuumiza na huku mbele wala hapakuwa kwema. Natamani kukutafuta lakini naogopa kwa kuanzia. Tusameheane na nakuombea saana siku zote maisha yasonge mbele.
 
hahahahaha! Bishanga mazali yananidondokea saaaana ila nayaogopaje??? Nitajitahidi kufuata ushauri wakog
 
Nimekusamehe lakini sintokusahau. Nakuombea mema pia mpendwa!
Huko si kusamehe ninapotaka kukusikia. Hivi ni dhambi kuwasiliana na yule mliyetofautiana? Maana kuna wakati ninafeel guilty lakini tatizo nikikurushia neno kidogo tu unageuka kuwa mkali saana.
 
Tukisalimiana inatosha sana. Unataka kusamehewa vipi???
Huko si kusamehe ninapotaka kukusikia. Hivi ni dhambi kuwasiliana na yule mliyetofautiana? Maana kuna wakati ninafeel guilty lakini tatizo nikikurushia neno kidogo tu unageuka kuwa mkali saana.
 
hii kitu ni noma, tunaumizwa moyo na hatuachi kupenda tena.




To love.... and be loved .... :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: kwa kufikiria tu, I cannot breathe.....
 
kupiga ndo ucjarb kabsaaaa!

Kuna kitu kwenye biology nakumbuka tuliambiwa kinaitwa symbiosis. Kwahiyo, naamini kabisa kila mtu analo la kujifunza katika maisha haya na huelewi nini kilitokea baada ya pale. Hivi bado una ile namba ya tigo? Maana huwa ninaiangalia lakini naogopa kupiga. Kuna haja ya kuzungumza na ninadhani utanielewa maana hatukupata wasaa wa kuzungumza.
 
mapenz sio ya kuyaendekeza sana yatakugeuza chizi...just relax and enjoy life,when u met a snitch just quit early

'MIMI NINA MSEMO WANGU AMBAO SIKUZOTE UNATEMBEA KICHWANI...KWAMBA SIKUZALIWA NA MTU NA WALA HAKUNA ALIYEUMBWA KWA AJILI YANGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…