Acha uwoga inabidi usafiri usiku na jahazi halafu bahari ichafuke kwenye kiza tororo kiza kinene na mvua kubwa.Sipendi kutizama mwezi usiku pakiwa na giza flan,, sijui nawazaga nini? Ila naogopa tu
Tokea 2020 mpk sahii sikumbuki lini nimeutizama mwezi ikiwa ni majira ya usiku
OhhAcha uwoga inabidi usafiri usiku na jahazi halafu bahari ichafuke kwenye kiza tororo kiza kinene na mvua kubwa.
Duh! Pole sana mkuuSipendi kutizama mwezi usiku pakiwa na giza flan,, sijui nawazaga nini? Ila naogopa tu
Tokea 2020 mpk sahii sikumbuki lini nimeutizama mwezi ikiwa ni majira ya usiku
Ila hautabadili hali halisi.Ohh
Nitalia sana
Nawe hujauona mwezi?Sijauona ila nafuatilia kuwa leo ni tarehe moja Rajab kiislam bado miezi 2 Ramadhani
Giza sana Mkuu na barafu inamwagikaNawe hujauona mwezi?