Umeupokeaje mwaka 2024

Sisi watu wa sola scriptura mwaka mpya tayari tumeshauona

Maana siku inaanza jioni jua linapozama siyo saa saa sita na dk moja (Mwanzo 1:5)

Kwa namna hiyo niwatakieni nyote heri ya mwaka mpya Mungu awe pamoja nasi kwa mwaka huu mpya machungu na magumu tuliyopitia mwaka uliopita Bwana atutendee mema kwa mwaka huu mpya na wale ambao Bwana alitupa mafanikio na kututimizia haja zetu tudumu kumuamini na akawe mwema zaidi kwa mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…