''umevaa nin leo diah?''

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Sijui kwa nin kila girl ninaekuwaga na uhusiano nae pindi 2napokua distance huwa wanapenda kuniuliza hilo swali?
 
Sasa kama hujui unatuambia ili iweje? Siuwaulize!!!
 
mie mwanaume ananiambia 'klxbvc yangu imesimama,niifanyeje' huwa sijui nijibuje online chatting,mwageni maujanja baaasi.....lol
 
Naenda kuwasemea kwa...
---Believdat---
 
mie mwanaume ananiambia 'klxbvc yangu imesimama,niifanyeje' huwa sijui nijibuje online chatting,mwageni maujanja baaasi.....lol

Mwanaume wako kesha kuona zoba!
 
Nasoma emails, nalipa bills, naskiza muziki, na kucheza solitaire. Wewe je?

nasoma emails,nasikiliza muziki,naperuzi jamii forums na issamichuzi,naangalia bongo movies na kuchat na marafiki duniani......
 
Umesahau kutaja hivyo vya kuambiana kua klxbvc imesimama.
Are you well dear? long time sijakuona jamvini.
 
hahahahah hivyo nadhani mwenyewe kashafigure out...
am fine dear,naingia humu ila mara chache...miss u big time!
 
mie mwanaume ananiambia 'klxbvc yangu imesimama,niifanyeje' huwa sijui nijibuje online chatting,mwageni maujanja baaasi.....lol

haya mama... Wataalam wa e-love!
 
Senetor, unapiga pamba kali sana ndo maana sweetie wako anakuuliza umetupia pamba gani. Mko wachache sana. Who is ur favourite designer?
 
pamba kali kwa uchumi upi huo mkuu wangu?
 
....swali tamu sana hilo...kama kweli waulizwa jua una bahat....
Wenzio twakosa hayo majambo etiii...
 
Helps us build imaginations about u guys!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…