Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza!

Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza!

Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza!

Hebu tupia ulichovaa leo iwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo wowote ule..

Kama huna basi tupia hata cha mtandaoni unachoona aliyevaa kimemtoa kwatu na kupendeza sana
793b061b-02fa-4a80-952e-e5ab4f727cd9.jpg
 
Back
Top Bottom